Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sio nyuki kweli!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio nyuki kweli!!?
Hàwàkukusikia, rudia tena.Leo kuna magoli mengi nashauri tabora wagome kuingiza timu waepuke aibu!
Ila madunduka nasikia wamefunga njia huko chamazi wanasheherekea kufungwa kwa Mabingwa wa wakati wote. Ila kama furaha yenu, huja tukifungwa endeleeni. Ikija zamu yenu mtulie tuli kama mnanyolewa zivu.
Sayansi haihitaji yote hayo mpaka kwa wakati wake.Nunua kaniki, tunguli na usinga ingia mzigoni. Hizi sarakasi hazisaidii.
Mkishinda Mimi shogaAll the best Young Africans Sports Club, The Best Team in East and Central Africa⚽
Pole mtani😃😃😃😃kicheko kinakera hiki haha.
Lini ulikuwa hauoni?Leo ndo naona kwanini nkane anakula mbao
Hii post sikuiweka leo, niliiandika kwenye thread ya Yanga na Singida; naona modereta kaileta hapa kwa kusudi fulani hivi.Ushindi wa Yanga wa kabao kamoja kamoja kweli haunipi faraja yoyote; ni kama Yanga imeanza kuishiwa pumzi.