Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Habari wanajukwaa nadhani mko salama,, Moja kwa Moja kwenye mada Yanga leo imenifedhehesha maamuzi niliyochukua ni kuhamia mashujaa Wana mashujaa mnipokee na hitimisha.. :ALERTA: 😀:ALERTA:😀:ALERTA:
Mimi ni Simba, ila we ni shabiki maandazi hujui football ni mchezo wa makosa, ko unataka yanga ishinde milele? Au ulibet kijana , city na madrid wamepoteza mara 2 mfululizo pia
 
Narudi nyumbani uzalendo kwanza
Mimi ni Simba, ila we ni shabiki maandazi hujui football ni mchezo wa makosa, ko unataka yanga ishinde milele? Au ulibet kijana , city na madrid wamepoteza mara 2 mfululizo pia
 
Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701


Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.

Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.

Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.

Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.

Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.

Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.

Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Dakika, 47 Yanga wanapata penati.

Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.

Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.

Dakika, 54 Hussen Masalanga anatoka baada ya kupata maumivu.

Dakika, 59 Yanga wanaendelea kulisakama goli la Tabora lakini mambo ni magumu
Yeboyebo hawoooooooooooo!!!!
 
😀
 

Attachments

  • 949f4e3e204743ea84315069721d781b.jpg
    949f4e3e204743ea84315069721d781b.jpg
    117.6 KB · Views: 1
😅
 

Attachments

  • 6cd18219e01340a2bdaf80519e1d059e.jpg
    6cd18219e01340a2bdaf80519e1d059e.jpg
    61.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom