Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Nimeamka nikiwa hospitali nimewekewa drip mbili za maji kutokana na mshtuko wa kichapo cha 3-1 tena kwa kufungwa mabao ya uhakika sana siyo ya kubabaisha. Nilianza kutetemeka na kutoka jasho baada ya kupigwa mbili nikiwa na matumaini kuwa tutalirudisha, lakini lilipotinga bao la tatu nikazirai na kupoteza fahamu hapo hapo. Kichapo kinaharibu sana afya na akili; kwa hiyo sasa hivi akili yangu haiko timamu mpaka baada ya siku tatu.

Yanga kutembezewa kichapo cha mbwa koko ni jambo la aibu sana.

1731014186692.png
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.View attachment 3146572
Vipi kesho hamna supu pale mitaa ya tigwa na jangwani??
 
Tukisema shule muhimu muwe mnaenda shule mnaona kama tunawanyanyapaa au hatuwapendi. Hizi imani za kishetani kabisa. Ni aibu. Hata ulichoandika we mwenyewe sijui kama unaweza ukakikosa ukakielewa. Mnaabudu ushirikina sana. Na naona Mikia nao ni shida. Imani yako na team yako vyote ni vya kupelekwa Jehanamu.
Hivi wewe una elimu ipi ya kushindana hata na mtoto Kiislam wa darsa la tano?
 
Hivi wewe una elimu ipi ya kushindana hata na mtoto Kiislam wa darsa la tano?
Hawa hawa waislamu ninao wafahamu mimi kama wewe?na elimu yao hii hii ya kuolewa Aisha na Muddy akiwa na miaka 9?na hawaoni shida? Na wewe huyu huyu ambaye hujielewi?na waislamu hawa hawa wanaoshinda madrasa wakicheza dufu na kukariri quran na hawajui hata maana yake?na chuo chao kikuu cha kupewa cha Morogoro? Dini ya mauaji,uzinzi,uasherati na mtume asiyejua kusoma?ya uchafu wote na ubakaji?😂
 
Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701


Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.

Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.

Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.

Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.

Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.

Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.

Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Dakika, 47 Yanga wanapata penati.

Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.

Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.

Dakika, 54 Hussen Masalanga anatoka baada ya kupata maumivu.

Dakika, 59 Yanga wanaendelea kulisakama goli la Tabora lakini mambo ni magumu
Hivi unajua uliukimbia uzi wako?Haukuumalizia.
 
Hawa hawa waislamu ninao wafahamu mimi kama wewe?na elimu yao hii hii ya kuolewa Aisha na Muddy akiwa na miaka 9?na hawaoni shida? Na wewe huyu huyu ambaye hujielewi?na waislamu hawa hawa wanaoshinda madrasa wakicheza dufu na kukariri quran na hawajui hata maana yake?na chuo chao kikuu cha kupewa cha Morogoro? Dini ya mauaji,uzinzi,uasherati na mtume asiyejua kusoma?ya uchafu wote na ubakaji?😂
Huyu jamaaa kila sehemu anakuwa na ubaguzi kama choco. Kwanza hapa sehemu ya football umefuata nini na kichaa chako
 
Back
Top Bottom