Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Mmemuona Azizi Ki saizi yupo ndani na hakuna kitu anafanya.

Then akitoka nje anageuka kuwa kocha msaidizi kuanza kuwa lecture wenzake.

Anaona ni rahisi kuwaambia wenzake cha kufanya wakati yeye akiwa humo ndani anashindwa kutekeleza
Mpuuzi huyu. Professional player kuanza kicks za wasanii wa muziki kuuza sura na malaya nilijua tu huu msimu hatoboi
 
Screenshot_20241030-201338_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom