Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah kumbe mzeya wa kugegeda upo kwenye fabo piaSio mbaya sidhani kama uto watachomoa yote labda kamoja
Matokeo ya Baki ivyo ivyo ☺️☺️😁😁😊😊🤣🤣😂😂
Hivi kuna watu wamekunywa supu kweli leo pale Utopoloni.Bila kafara la thupu Amphibia ni wepesi sana
Mwiko umetolewaCleansheet ya nyoko
Boss itakuwa kanuna baada ya kipigo Cha azam 🤣🤣🤣🤣Yanga leo wamelipa hela kidogo ya kutumia uwanja maana hata matangazo ya kielectronic hayajawashwa
Tabora egonga baltazarIli kuchangamsha jukwaa, inabidi P. Diddy aje tu kutuwekea ile video yake akimpaka Mondi Baby Oil mgongoni wakiwa chumbani wao peke yao.
Ohooo angalia usiache familia kwa kudanganywa na akina alikamwe si ndioanawaambia mvimbe wanayangaLeo ndo nimejua kupenda mpira ni hatari kuliko sumu, yanga inataka kuondoka na uhai wangu kabisa.
Oyaaa siwatakii mema kabisa mwiko nyumaAh kumbe mzeya wa kugegeda upo kwenye fabo pia
Kama ningekuwa nimeanza kufuatilia mpira jana basi ningesema tabora ni timu kubwa kwa kuangalia mwenendo wao wa msimu huu tu, tabora hii hii ambayo msimu uliopita imeponea chupuchupu kushuka daraja ndio mara hii imeshakuwa timu kubwa, nasisitiza kauli yenu mlisema mna kikosi kipana na leo hamko pungufu sasa shida iko wapi leo hii beki mmoja tu kukosekana kikosi kimeflopmkuu umeanza fatilia mpira jana tabora timu ndogo
umecheza nayo haina wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza
Na iwe.Matokeo ya Baki ivyo ivyo ☺️☺️😁😁😊😊🤣🤣😂😂
Kama.mchezo Yanga anacheza vizuri. Goli la pili limekuja wakati Yanga wanapaniki na kupanguliwa penalti ndiko Tabora walikopitia.Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.
Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.
Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.
Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.
Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Dakika, 47 Yanga wanapata penati.
Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.
Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.
Dakika, 54 Hussen Masalanga anatoka baada ya kupata maumivu.
Dakika, 59 Yanga wanaendelea kulisakama goli la Tabora lakini mambo ni magumu
Hapana mkuuumeanza fatilia mpira mechi ya azam na yanga mkuu