Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

3DE67869-FC43-426D-934D-66A12EDD76BB.jpeg
 
mkuu umeanza fatilia mpira jana tabora timu ndogo

umecheza nayo haina wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza
Kama ningekuwa nimeanza kufuatilia mpira jana basi ningesema tabora ni timu kubwa kwa kuangalia mwenendo wao wa msimu huu tu, tabora hii hii ambayo msimu uliopita imeponea chupuchupu kushuka daraja ndio mara hii imeshakuwa timu kubwa, nasisitiza kauli yenu mlisema mna kikosi kipana na leo hamko pungufu sasa shida iko wapi leo hii beki mmoja tu kukosekana kikosi kimeflop
 
Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701


Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.

Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.

Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.

Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.

Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.

Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.

Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Dakika, 47 Yanga wanapata penati.

Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.

Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.

Dakika, 54 Hussen Masalanga anatoka baada ya kupata maumivu.

Dakika, 59 Yanga wanaendelea kulisakama goli la Tabora lakini mambo ni magumu
Kama.mchezo Yanga anacheza vizuri. Goli la pili limekuja wakati Yanga wanapaniki na kupanguliwa penalti ndiko Tabora walikopitia.
Na wazee wa Tanora boys wameamua kufunga mafundo! HaiweEkaniki mipira yote hii iende Kanda na penalti ipotee!!
 
Back
Top Bottom