Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Hapa kilichobakia kwa uongozi wa Yanga ni kumtimua tu kocha na benchi lake la ufundi. No way out.

Maana timu inahitaji falsafa mpya, inahitaji morali, na pia nidhamu. Kinyume na hapo, haya matokeo yataendelea kujirudia. Dalili zilianza mapema tu kuonekana.
Kumekucha. Mbona mapema sana mkuu?! Tulieni dawa iwaingie.
 
Mimi sina shida. Navumilia vizuri tu. Ila tukija kwenye timu; no way out! Kocha na benchi lake la ufundi, wanatakiwa kutolewa sadaka ili maisha nayo kwenye timu yaendelee.

By the way, ni jukumu la viongozi kuamua cha kufanya. Ila kiukweli timu inahitaji mabadiliko ya benchi la ufundi.
Mkuu mbona soka mmepiga? Ilikuwa zamu yenu tu leo kuchapika
 
Back
Top Bottom