Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Tukisema shule muhimu muwe mnaenda shule mnaona kama tunawanyanyapaa au hatuwapendi. Hizi imani za kishetani kabisa. Ni aibu. Hata ulichoandika we mwenyewe sijui kama unaweza ukakikosa ukakielewa. Mnaabudu ushirikina sana. Na naona Mikia nao ni shida. Imani yako na team yako vyote ni vya kupelekwa Jehanamu.
Nimewacha siku nyingi kuwanganaa kondoo.

Nikuulize swali?

Nani afanyae miujiza? Mwenyezi Mungu au Binadam?
 
Wale wajinga walisema sisi tunajidunga sindano za kuongeza nguvu. Mikia hao ndo wameleta hizo taarifa kwa sababu ya yale mabomba waliyo yaona kule room kwetu. Sasa leo tumecheza bila hayo mabomba wafurahi wao mbwa hao
Ndio wamesababisha tukapigwq goli 3 baada ya kutoruhusu mabomba ya sindano room kwetu.

Basi acha wafurahi wao, wanadhani ni sifa Shadeeya
 
Mmemuona Azizi Ki saizi yupo ndani na hakuna kitu anafanya.

Then akitoka nje anageuka kuwa kocha msaidizi kuanza kuwa lecture wenzake.

Anaona ni rahisi kuwaambia wenzake cha kufanya wakati yeye akiwa humo ndani anashindwa kutekeleza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpe baby vitatu 🐸
20241107_221632.jpg
 
Back
Top Bottom