Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
KARIAKOO DERBY | Leo Jumatano kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC

Saa 11:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa


Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Afrika nzima imewadia.
Ni mechi ya kuamua ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024/2025, Yanga ikiwa inaongoza ligi kwa pointi moja dhidi ya mtani wake, Simba.

Waamuzi wa mchezo wa leo wakikagua "pitch" ya dimba la Benjamin Mkapa

1750854924097.png
1750856898176.png

1750856981142.png




Kikosi cha Yanga
1750858183858.png

Kikosi cha funga kazi Simba

Mashabiki wa Yanga wakizungumza kabla ya mechi
 
Hii tunaenda TU ila ukweli hatujaisubiri kwa ham kama trh 08 march halafu Simba anajidai kuonewa wakati shida alianza yeye ukweli season hii Bora kufatilia mechi ya Pachuca huko world cup kuliko Hawa malingo saba
 
Back
Top Bottom