Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
- Thread starter
- #21
Ukikaa nchale ukisimama nchale ukikikimbia nchale
Acha uogaDerby imekosa mvuto na ushawishi. Lol
Sizitaki mbichi hizi, wakati una Chama na Miquson mngeongea hivi?Derby imekosa mvuto na ushawishi. Lol
Waambie tumeshapaka vumbi la Congo na nauli ametumiwa, alete mzigo huo hakuna visingio.Acha uoga
Simba alikua hafungwi na Yanga kipindi wakiwepo?Sizitaki mbichi hizi, wakati una Chama na Miquson mngeongea hivi?
Timu wataleta tu hawana ujanja.Waambie tumeshapaka vumbi la Congo na nauli ametumiwa, alete mzigo huo hakuna visingio.
Hapa nashushia Konyagi na redbull.
Hicho kilikuwa kipindi cha ufalme wa Simba.Simba alikua hafungwi na Yanga kipindi wakiwepo?
Upi wee ponjoroo? LolAcha uoga
Hata sahivi naongea, Derby imekosa mvuto na ushawishi. LolSizitaki mbichi hizi, wakati una Chama na Miquson mngeongea hivi?
Kuna uwezekano mkubwa hii mechi haipo.Match ipo 10000%
Game ipo kijana, subiri masaa kadhaa tu hapo utulie kideoni mwako.Kuna uwezekano mkubwa hii mechi haipo.
Simba hawana cha kupoteza kwa msimu huu hata wakinyang'anywa point wanacheza champions league kama ilivyokuwa hesabu za Yanga kabla ya June 15.
Walipocheza na Kagera ilikuwa kocha alipanga kikosi kuonyesha wazi kuna mechi. Ila haya yanayoendelea kuanzia jana siamini kama ni mind game. Hakuna timu isiyopenda kucheza mashabiki wake wakiwa uwanjani. Siamini kama Simba wako tayari kucheza uwanja ukiwa umejaa mashabiki wa Yanga na wa Simba hawapo. Wako kambini ila naona mgawanyiko kwenye uongozi uongozi.
Mfalme ni simba tu, sasa sijui wewe una mfalme wako tena?Hicho kilikuwa kipindi cha ufalme wa Simba.
Wamegawanyika kuhusu kucheza au kutokucheza dabi?Wako kambini ila naona mgawanyiko kwenye uongozi.
Mawazo yote mawili ni sahihiWamegawanyika kuhusu kucheza au kutokucheza dabi?
HaipoIpo kweli hii mechi?
Ikiwepo ni jambo jema ili mtu achukue ubingwa mbele ya mtani.Game ipo kijana, subiri masaa kadhaa tu hapo utulie kideoni mwako.
5imba jana wamechukua tickets zao za VIP kwa ajili ya viongozi wao,hawana ubavu wa kugomea hii match.Kuna uwezekano mkubwa hii mechi haipo.
Simba hawana cha kupoteza kwa msimu huu hata wakinyang'anywa point wanacheza champions league kama ilivyokuwa hesabu za Yanga kabla ya June 15.
Walipocheza na Kagera kocha alipanga kikosi kuonyesha wazi kuna mechi. Ila haya yanayoendelea kuanzia jana siamini kama ni mind game. Hakuna timu isiyopenda kucheza mashabiki wake wakiwa uwanjani. Siamini kama Simba wako tayari kucheza uwanja ukiwa umejaa mashabiki wa Yanga na wa Simba hawapo. Wako kambini ila naona mgawanyiko kwenye uongozi.
Anachokifanya 5imba ni sabotage kwa mapato ya Yanga,ila hili tutalilipa tuu.Ikiwepo ni jambo jema ili mtu achukue ubingwa mbele ya mtani.
Ila kuna viashiria vya kutokuwepo mechi. Kutoshiriki prematch meeting, Simu kutopatikana, Kupangiwa kufanya mazoezi saa 11 kabla ya Yanga, waraka wa leo wa shukrani kwa mashabiki kwa kwa support ya msimu mzima wakati walishafanya hivyo kwenye mechi ya Kagera. Labda kwa kuwa hawakuandika kwenye page zao.
Mwisho wa siku Yanga itakuwa uwanjani ikiwasubiri.
Kwani na hii inaitwa derby ya mama?