Mkuu nimekuPM inboxHamna mechi kila mtu anajua ilo.
Nakuja kakaMkuu nimekuPM inbox
Anaitwa Joshua Mutale NagwaNalitakia Chama Langu la simba ushindi mnono nikitokea Tandahimba Simba Nguvu Moja
View attachment 3382203
Ongezea na la sponsa wao kuzinguaMawazo yote mawili ni sahihi
We mshamba wa wapi? Siyo Yanga Africans ni Young AfricansIle siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Africa nzima imewadia. Ni match ya kuamua ubingwa wa ligi kuu Bara kwa msimu wa 2024/2025,Yanga ikiongoza ligi kwa point moja dhidi ya mtani wake Simba. Tupo hapa kuwaletea updates za matukio kabla,wakati na baada ya match.
Hatuhitaji kulipa ujinga wao vinginevyo itatughalimu. Sisi ni kwenda uwanjani. Wakina pakome wanahitaji uwanja ujae mashabiki maswala ya pesa yatajisumbukiaAnachokifanya 5imba ni sabotage kwa mapato ya Yanga,ila hili tutalilipa tuu.
Swali la msingi sana hiliSimba wanasemaje?
Kuna mtu kawaona sehemu wakijiandaa
Mechi ipo lakini Kuna fukuto uko kwa makolo linafukuta vibaya mno,,wachezaji wanadai bonus zao karibia bil.1 awajalipwa na Kanjibhai kasusa,,sasa wachezaji wanataka mzigo wote uwekwe mezani ndio derby ichezwe,,kingine Kuna baadhi ya wachezaji awatoonekana kwenye derby inasemekana wanaofiwa kuchukua mlungura kutoka yanga ivyo awatopangwa kwenye derby ikiwemo kipa Camara,,lakini pia Kanjibhai kasusa baada ya kusikia fununu anatafutwa mwekezaji mwingine kutokana na yeye kuwa na tabia inayojirudiarudia ya kususasusa inapotokea amebanwa kwenye Kona juu ya uwekezaji wake,,mambo ni mengi umbumbuni na derby ikiisha mtasikia mengi sanaIkiwepo ni jambo jema ili mtu achukue ubingwa mbele ya mtani.
Ila kuna viashiria vya kutokuwepo mechi. Kutoshiriki prematch meeting, Simu kutopatikana, Kupangiwa kufanya mazoezi saa 11 kabla ya Yanga, waraka wa leo wa shukrani kwa mashabiki kwa kwa support ya msimu mzima wakati walishafanya hivyo kwenye mechi ya Kagera. Labda kwa kuwa hawakuandika kwenye page zao.
Mwisho wa siku Yanga itakuwa uwanjani ikiwasubiri.
Upo kwenye kamati za utendaji za Simba?Mechi ipo lakini Kuna fukuto uko kwa makolo linafukuta vibaya mno,,wachezaji wanadai bonus zao karibia bil.1 awajalipwa na Kanjibhai kasusa,,sasa wachezaji wanataka mzigo wote uwekwe mezani ndio derby ichezwe,,kingine Kuna baadhi ya wachezaji awatoonekana kwenye derby inasemekana wanaofiwa kuchukua mlungura kutoka yanga ivyo awatopangwa kwenye derby ikiwemo kipa Camara,,lakini pia Kanjibhai kasusa baada ya kusikia fununu anatafutwa mwekezaji mwingine kutokana na yeye kuwa na tabia inayojirudiarudia ya kususasusa inapotokea amebanwa kwenye Kona juu ya uwekezaji wake,,mambo ni mengi umbumbuni na derby ikiisha mtasikia mengi sana
Za ndaaani hizo kama utaki kuamini subilia derby iishe,,Upo kwenye kamati za utendaji za Simba?
Za ndaaani hizo kutoka kamati ipi unayofanyia kazi boss?Za ndaaani hizo kama utaki kuamini subilia derby iishe,,
Mechi ipo bro, niamini mimi.Ikiwepo ni jambo jema ili mtu achukue ubingwa mbele ya mtani.
Ila kuna viashiria vya kutokuwepo mechi. Kutoshiriki prematch meeting, Simu kutopatikana, Kupangiwa kufanya mazoezi saa 11 kabla ya Yanga, waraka wa leo wa shukrani kwa mashabiki kwa kwa support ya msimu mzima wakati walishafanya hivyo kwenye mechi ya Kagera. Labda kwa kuwa hawakuandika kwenye page zao.
Mwisho wa siku Yanga itakuwa uwanjani ikiwasubiri.
Kumbe za ndaaani mpaka uwe kwenye kamati,,nimekupa iyo sasa ichukue,,na muda huu tunavyoongea unajua viongozi wako wako wapi?Za ndaaani hizo kutoka kamati ipi unayofanyia kazi boss?
Kumbe za ndaaani mpaka uwe kwenye kamati,,mda huu tunavyoongea unajua viongozi wako wako wapi?Za ndaaani hizo kutoka kamati ipi unayofanyia kazi boss?