Karibu katika uchambuzi wa mubashara wa mchezo mkubwa nchini,Yanga vs simba utakaofanyika katika uwanja wa benjamin wiliamu mkapa jijini dar es salam majira ya saa 11kamili kwa saa za africa mashariki
ni mchezo muhimu kwa timu zote mbili kwani kila timu inauhitaji,licha ya kuwa kila timu inahtaji kulinda heshima na kuweka historia bali pia ni mchezo wa mwisho wa kwa timu zote mbili hivyo yeyote atakayeshinda ktk mchezo huu atatwaa ubingwa wa NBC PL msimu huu wa 2024/25
Yanga anahtaji angalau sare tu ili kunyakua ubingwa,huku simba ushindi pekee ndio utamuwezesha kuwa bingwa
licha ya kuwa ni mchezo mkubwa na muhimu kwa timu zote mbili kuna hathati kubwa simba wasitokee uwanjani,kwani kuna fununu kuwa baada ya mchezo huo kuahirishwa june 15 simba hawatambui mchezo wowote
karibu kwa updates