Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Africa nzima imewadia. Ni match ya kuamua ubingwa wa ligi kuu Bara kwa msimu wa 2024/2025,Yanga ikiongoza ligi kwa point moja dhidi ya mtani wake Simba. Tupo hapa kuwaletea updates za matukio kabla,wakati na baada ya match.
Yanga 4
Simba 0

Walikimbia saba kuleta papuchi na leo hatimaye wamekileta tukishenyete

Kisugu Kalpana leo nakupiga bao 4 za nguvu
 
Back
Top Bottom