Ponjo mwenyeweUpi wee ponjoroo? Lol
Nadhani yeye kakurekebisha tu na alichosema ndio ukweli wenyewe, punguza ego na ukubali kuelimishwa.Unajifanya unajua sana baada ya kula xmass tano mjini sio
Hili jina tangu nisikie Gwajima akilitumia dhidi ya Tarimba limekuwa likinichekesha sana.😀Upi wee ponjoroo? Lol
Kwamba Mimi sijui tofauti ya Yanga na Young?Nadhani yeye kakurekebisha tu na alichosema ndio ukweli wenyewe, punguza ego na ukubali kuelimishwa.
Nakubaliana na wewe.Nchi hii wajinga ni wengi!
Kabisa yaani.Majamaa ni mambumbu sana Rage hakukosea ..
Kiburi kimewaisha aisee😃😀Mikia wamekubali yaishe. 😃
Hatariii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili jina tangu nisikie Gwajima akilitumia dhidi ya Tarimba limekuwa likinichekesha sana.[emoji3]
Wee ni ponjoroo, [emoji23][emoji23][emoji23]Ponjo mwenyewe
Aisee kweli bongo bahati mbayaView attachment 3382123Asante Mama, hatuna deni na wewe.😀😀
Yalisikika mazuzu na machawa yakiropokwa.😂😂
Wakigomea maamuzi ya Mkuu wa nchi wajitayarishe mwakani kucheza playoff na mwaka unaofuata Championship.5imba jana wamechukua tickets zao za VIP kwa ajili ya viongozi wao,hawana ubavu wa kugomea hii match.
Na Bora iwe ilikua mind game, lakini kama wanakuja kucheza shingo upande kwa kulazimishwa, tuhesabu mtu kula WIKI na fans kuumizana mitaaniKiburi kimewaisha aisee😃😀
😂😂Kiburi kimewaisha aisee😃😀
🤣Walete hao utopolo.
Wataelewa kwanini mwanamke akaambiwa akae vizuri mchana anatengeneza nguo yake vizuri, na akiambiwa akae vizuri usiku anavua nguo vizuri.