Mlitegemea nini kutoka kwa viongozi wenu haoš.Narudia Tena, nimehama rasmi Simba. Naitakia Yanga ushindi mnono. Litimu hakuna msimamo lipolipo tu. Stupid
š¤£Simba nao wakifanya pitch feeling
Vikosi wapiKARIAKOO DERBY | Leo Jumatano kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC
Saa 11:00 Jioni | š“ LIVE updates hapa
Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Afrika nzima imewadia.
Ni mechi ya kuamua ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024/2025, Yanga ikiwa inaongoza ligi kwa pointi moja dhidi ya mtani wake, Simba.
Waamuzi wa mchezo wa leo wakikagua "pitch" ya dimba la Benjamin Mkapa
View attachment 3382718
Nyuso zao zinaonyesha pressure kubwa hatari .. 195/110Yanga wakifanya pitch feeling hapa kwa Mkapa
Simb alkuwa anafanyiwa figisu nying ambazo kama angekuwa mliaji kama Yanga bas mpk ss FIFA wangeipiga nyundo ligi yetuHii tunaenda TU ila ukweli hatujaisubiri kwa ham kama trh 08 march halafu Simba anajidai kuonewa wakati shida alianza yeye ukweli season hii Bora kufatilia mechi ya Pachuca huko world cup kuliko Hawa malingo saba
Pacome, Mudathiri, Abuya wanawekwa mfukoni, tumemaliza mechi
Fawanews mbona ipo hewan mkuu andika Fawanews.scDah hii derby imenikuta mbali Sana, msaada wakuu wa link ya kuangalia mechi maana naona kama fawanews wameipiga kufuli
Shukrani mkuuFawanews mbona ipo hewan mkuu andika Fawanews.sc
Shukrani mkuuFawanews.sc