Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

wakuu simba anachukua ubingwa wa ligi msimu huu
1750858431413.png
 
KARIAKOO DERBY | Leo Jumatano kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC

Saa 11:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa


Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Afrika nzima imewadia.
Ni mechi ya kuamua ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024/2025, Yanga ikiwa inaongoza ligi kwa pointi moja dhidi ya mtani wake, Simba.

Waamuzi wa mchezo wa leo wakikagua "pitch" ya dimba la Benjamin Mkapa

View attachment 3382718
View attachment 3382719

Kikosi cha Yanga
View attachment 3382748
Kikosi cha funga kazi Simba
View attachment 3382761
Mashabiki wa Yanga wakizungumza kabla ya mechi
View attachment 3382760
Simba anakufa nyingi: 7-0 ni machache
 
Nimeota yanga wamefumgwa na simba na nikiota jambo linatokea hivo hivo simba leo ni bingwa mtayakumbuka maneno yangu baada ya game
 
Narudia Tena, nimehama rasmi Simba. Naitakia Yanga ushindi mnono. Litimu hakuna msimamo lipolipo tu. Stupid
Kiuhalisia mkuu viongoz wasimba ni makuzeshen ki mbwam yaan bora simba ifungwe ata kumi wanasndwa kujishikilia ebu fikiria yanga walivyokaza hawawakwetu mangnguu anawaza ubunge asjekatwa
 
Kiwashee

Kiwasheeee

KiWASHEEEEEEEE......

WALETEEEEEE.......

💚💛💚💛💚💛💚💚💛💚💚
 
Back
Top Bottom