Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
KARIAKOO DERBY | Leo Jumatano kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC

Saa 11:00 Jioni | πŸ”΄ LIVE updates hapa


Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Afrika nzima imewadia.
Ni mechi ya kuamua ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024/2025, Yanga ikiwa inaongoza ligi kwa pointi moja dhidi ya mtani wake, Simba.

Waamuzi wa mchezo wa leo wakikagua "pitch" ya dimba la Benjamin Mkapa

​




Your browser is not able to display this video.

Kikosi cha Yanga

Kikosi cha funga kazi Simba
Your browser is not able to display this video.

Mashabiki wa Yanga wakizungumza kabla ya mechi
 
Hii tunaenda TU ila ukweli hatujaisubiri kwa ham kama trh 08 march halafu Simba anajidai kuonewa wakati shida alianza yeye ukweli season hii Bora kufatilia mechi ya Pachuca huko world cup kuliko Hawa malingo saba
 

Kila la heri timu ya Wananchi Young Africans πŸ’›πŸ’š
Mnafahamu fika ni nguvu gani iliyotumika kuwabeba wapinzani wenu, ili tu msitangazwe mapema kuwa mabingwa kwa mara 4 mfululizo.

Leo kazi kwenu.
Cha msingi tunawataka TFF walilete kombe uwanjani tunaondoka nalo walete au wasilete timu kombe ni la Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…