Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Simba anakufa nyingi: 7-0 ni machache
 
Nimeota yanga wamefumgwa na simba na nikiota jambo linatokea hivo hivo simba leo ni bingwa mtayakumbuka maneno yangu baada ya game
 
Dabi kwa hisani ya ccm sisi wa chauma tunaenda kuangalia kua ni machizi soka ila mzuka km kwa demu mpya hakuna
 
Narudia Tena, nimehama rasmi Simba. Naitakia Yanga ushindi mnono. Litimu hakuna msimamo lipolipo tu. Stupid
Kiuhalisia mkuu viongoz wasimba ni makuzeshen ki mbwam yaan bora simba ifungwe ata kumi wanasndwa kujishikilia ebu fikiria yanga walivyokaza hawawakwetu mangnguu anawaza ubunge asjekatwa
 
Kiwashee

Kiwasheeee

KiWASHEEEEEEEE......

WALETEEEEEE.......

πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…