Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
- Thread starter
- #501
Zimbwe kadi ya njano
Magoli ni ya mama hata wakifungaHahaha Yanga wameingia kioga. Wangekuwa wale wamoto hapa wangekuwa hata na goli tatu. Ila hivi walivyokuja watafungwa.
AiseeehMpanzuuu,goal kick hapa imekula nguzo ya chini
Ni kama wamerudi na plan nyingine kipindi hiki cha pili.Simba wanaonana hapa
NRNEMagoli ni ya mama hata wakifunga
Magoli ya mamaMkitufunga niite mbwa.
Mama anaubondaNRNE