Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,058
- 2,637
Marefa wa TZ wajifunze kwa huyu jamaa. Radha ya mpira unaiona.
Siyo mafirimbi kibao
Siyo mafirimbi kibao
Hakika, sijajuta kulipia king'amuzi, ball linatembea.Marefa wa TZ wajifunze kwa huyu jamaa. Radha ya mpira unaiona.
Siyo mafirimbi kibao
Kutongoza!!!??? Kwahiyo akitongoza ndo inakuwaje sasa!? Acha kubeti kijana maana inaonekana ulikuwa na matokeo yako mfukoni sasa mambo si mambo unahisi game imepangwa! Kama imepangwa beti sasa upige mamilioni maana si ushajua imepangwa na matokeo yatakuwaje?Hii game Ina upangaji wa matokeo asee,lasivyo yanga alipaswa awe anatongoza mpaka sasa!!!
Marefa wa bongo wamezidi unakumbuka ile mechi ya simba na mashujaa?.Mechi haijaisha lakini. Kumbuka hao waamuzi wa Bongo huwa mnawalaumu kwa kosa moja au mawili tu
Hahaha Yanga wameingia kioga. Wangekuwa wale wamoto hapa wangekuwa hata na goli tatu. Ila hivi walivyokuja watafungwa.Wewe tulia tu kuna mda mtamkataa refa yanga 50 simba 0
SawaMagoli ya mama , naona mama anaupiga mwingi
Simba Vipi hapoo...
Leo Mmekutana na Kipimo Halaliii...
Salini sanaa..
💚💛💚💛💚💛💛
Tunamtaka Kayoko wetu. Huyu Farao hatuelewi!Referees mitanoooo tena,leo hamna kubebwa au kubeba...
au ile mechi Baka anafunga kwa mkono!Marefa wa bongo wamezidi unakumbuka ile mechi ya simba na mashujaa?.
Pacome kapigwa yellow card alidhani hawa marefa wa bongoTunamtaka Kayoko wetu. Huyu Farao hatuelewi!
View attachment 3382837
Yani humu mnawaza Simba na yanga tu 😀 🙆KARIAKOO DERBY | Leo Jumatano kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC
Saa 11:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa
Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Afrika nzima imewadia.
Ni mechi ya kuamua ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024/2025, Yanga ikiwa inaongoza ligi kwa pointi moja dhidi ya mtani wake, Simba.
Waamuzi wa mchezo wa leo wakikagua "pitch" ya dimba la Benjamin Mkapa
View attachment 3382718
View attachment 3382719
View attachment 3382748
Kikosi cha Yanga
View attachment 3382761
Kikosi cha funga kazi Simba
View attachment 3382760
Mashabiki wa Yanga wakizungumza kabla ya mechi