Hamna mchezaji humo siku zote hufanya hivyo hivyoMutale anapoteza mipira kirahisi sana
Fawanews.ScOya me sipati kabisa
Had utachanganyikiwa😂Mukwaaaaaaaaaaalaaaaaaa
Game inawaficha strikers, si unaona hata Simba mbele hawaonekani, ila game kama hili Bora mzize anaweza hata kuforce kidogoDube hakuna kitu kabisa
Punguza cha chuga mkuuGool yanga 20 simba 0
#MamaKasuluhisha
😀