THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,547
- 7,531
Ngapi ngapi huko nimetoka kwenye paper ue now
Nasikia yanga ni bora duniani kwamba mpaka sasa hivi hawajapata hata goli 7 mkuu?Punguza cha chuga mkuu
Yanga hakuna timu ni papatu papatu wanakosa nafasi,simba atashinda moja bila hi gemuWanakosa hapa Yanga
Wewe tulia tu kuna mda mtamkataa refa yanga 50 simba 0Haya majamaa marefa yako vizuri sana. Yamesababisha match ipunguze majungumajungu mtaani
😂😂😂😂😂Wewe tulia tu kuna mda mtamkataa refa yanga 50 simba 0
Mechi haijaisha lakini. Kumbuka hao waamuzi wa Bongo huwa mnawalaumu kwa kosa moja au mawili tuRefa ndo huyu sasa sio akina tatu na kepha.
hakuna magoli ya mikono leo wala kayokoSimba Vipi hapoo...
Leo Mmekutana na Kipimo Halaliii...
Salini sanaa..
💚💛💚💛💚💛💛
Mnaongoza ngapi?Simba Vipi hapoo...
Leo Mmekutana na Kipimo Halaliii...
Salini sanaa..
💚💛💚💛💚💛💛
Magoli ya mama , naona mama anaupiga mwingi😂😂😂😂😂
😂😂Mnaongoza ngapi?
Kumbe kipimo chenyewe ndio hiki?Simba Vipi hapoo... Leo Mmekutana na Kipimo Halaliii... Salini sanaa..
💚💛💚💛💚💛💛
Unawashwa sio bureHii game Ina upangaji wa matokeo asee,lasivyo yanga alipaswa awe anatongoza mpaka sasa!!!
Punguza kubetHii game Ina upangaji wa matokeo asee,lasivyo yanga alipaswa awe anatongoza mpaka sasa!!!
Unafikiri ni Bekane!??Kumbe kipimo chenyewe ndio hiki?
Nakutabiria utakua wakwanza kumkataa refa yanga 10 simba 0, mama anaupiga mwingi wewe haujamwona?Referees mitanoooo tena,leo hamna kubebwa au kubeba...