Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
- Thread starter
- #361
Mpira wa kurushwa kwenda Yanga
Nakufuatilia mkuu, ivo ivoMpira wa kurushwa kwenda 5imba
💚💚💚💛💛We nae unaangalia? Basi Yanga bingwa
Ingia hiyo YouTube livehttps://www.youtube.com/live/ZiON9NOesW0?si=23xC0TQwkqaJKXTMMwenye link ya kuangalia mpira
Wagalatia na mpira wapi na wapi...Mpira wa kurushwa kwenda Yanga
Naona amewalazimisha, huwezi kuamini kuwa leo ni Derby#MamaKasuluhisha
😀