HahahSimba kapata ushindi
Huyo ni my wetu ili mradi kaingia geto lazima aliweHawa yanga hizi nafasi watazijutia
Leo umekwamaMungu ibariki Simba
Apoteze itoke drawKama kawaida yake Camara anapoteza muda
Huyo Mpanzu mwenyewe sasaNani wa kumkaba mpanzu eewh?😂😂
UsizimeNAZIMA TV Simba itaniua
Ashindwe kusaidia wagonjwa awasaidie ninye wenye MPANZU😂😂Simba tukishinda hapa ni Mungu saidia tu
Toa neno mtaalamu niweke bet apa