Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 660
- 1,081
App gan inarusha gem kwenye simu
😂😂😂NAZIMA TV Simba itaniua
Simba Anashinda Au Draw🤣🤣Toa neno mtaalamu niweke bet apa
Mpanzu yupo kama hayupoAshindwe kusaidia wagonjwa awasaidie ninye wenye MPANZU😂😂
Kaza kakaNAZIMA TV Simba itaniua
Apa nakukataa nampa yanga mazimaSimba Anashinda Au Draw🤣🤣
Ndio huyu au kuna mwinginempanzuuuuuuuuuuu
Oya unachanganyikiwa?😂fawanews.sc jau sana ina lag knm.
Daa mm mwenyew kwenye mkeka nimemuua SimbaLeo umekwama
Ni kilio tu nduguMpira unaendaje huko, sijapata bahati ya kuuangalia.
Simba Sc kalemewa?