Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,025
- 28,097
Una maanisha, ni lazima asaidie wenye viwango vya kutosha kucheza na malaika wake.?Ashindwe kusaidia wagonjwa awasaidie ninye wenye MPANZU😂😂
Una maanisha, ni lazima asaidie wenye viwango vya kutosha kucheza na malaika wake.?Ashindwe kusaidia wagonjwa awasaidie ninye wenye MPANZU😂😂
Nipe website kaka sina ujirani na TV hapaOya unachanganyikiwa?😂
Hahaha ubaya ubwelaDaa mm mwenyew kwenye mkeka nimemuua Simba
Tukishinda ni Tumeshinda
Tukipigwa ni nimeshinda Tu😂
Tuko live na azamNipe website kaka sina ujirani na TV hapa
Kka mi nachek kwa azam tvNipe website kaka sina ujirani na TV hapa
Ina maana hawajui kusoma nyakati? Dede dede za Kayoko haziwezi kiwepo leo.Kadi ya njano kwa Pacome kajiangusha
Baada ya kubadilisha kwenda kingereza ishakua stable mtaalam.View attachment 3382793
Mbona iko safi jamaa,
Viungo na washambuliaji wote wamerudi katikati na kulinda. Yawezekana ni plan ya kocha ila wanaharibu match. Wakibadilika hii match Simba wanashindaSimba imetepeta mapema. Viungo wamepoteana