Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Yanga anapata kona ya kwanza dakika ya 30
Ni Kweli Kabisa Ni PSG ikicheza na Arsenal Mechi ya UEFA mwaka 2024 mwezi wa 10 PSG alipochapwa 2Hivi hii ni yanga au Psg?
Mtafiteni KEFA KAYOMBOCha muhimu tusinyimwe penati zetu🤣🤣
Sidhani Kwa sababu Simba ndio anahitaji ushindi maana dro Yanga bingwaViungo na washambuliaji wote wamerudi katikati na kulinda. Yawezekana ni plan ya kocha ila wanaharibu match. Wakibadilika hii match Simba wanashinda
Mbona kwenye simu hawapo au kuna mahali nakoseaView attachment 3382801
Jau sana leo fawa
fawanews.sc wapoMbona kwenye simu hawapo au kuna mahali nakosea
Hawaonyeshi kama wanautaka sana au ndio game plan yaoSidhani Kwa sababu Simba ndio anahitaji ushindi maana dro Yanga bingwa
🤣🤣🤣Mzee Mbona Simba Wamevaa Red Hiii Inaonyeaha White hahaha
We nae unaangalia? Basi Yanga bingwaKona
Hata hapa bado umekosea. Ni rahisi kukukadiria kuwa hukumaliza shule.Mama ako aja kwambia ?