Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
- Thread starter
- #321
Mukwala kawekwa mfukoni na Baka
Dah hii mechi nishaikosaKka mi nachek kwa azam tv
Hii lugha gani?Refa acheki na wowote leo ahoua asahau penalty
Simba wanakaa hii gemu tukutane dakika 90 zikiishaHuyo ni my wetu ili mradi kaingia geto lazima aliwe
Mwiko nyuma mna maneno ya shombo sio?Ashindwe kusaidia wagonjwa awasaidie ninye wenye MPANZU😂😂
Oya me sipati kabisaBaada ya kubadilisha kwenda kingereza ishakua stable mtaalam.
Ingekua ni marefa wa bongo, hiyo ni penatiRefa jiheshimu
Ndio inatakiwa ,mahindi ashinde kihalali ,hakuna Cha visingizio sijui kayokoRefa acheki na wowote leo ahoua asahau penalty
Mzee Mbona Simba Wamevaa Red Hiii Inaonyeaha White hahahaView attachment 3382801
Jau sana leo fawa
Marefa wetu wanachakujifunza.Hii yellow kwa Pacome ni faida ya kutumia refa wa nje
Mama ako aja kwambia ?Hii lugha gani?