Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Match ipo 10000%
Kuna uwezekano mkubwa hii mechi haipo.

Simba hawana cha kupoteza kwa msimu huu hata wakinyang'anywa point wanacheza champions league kama ilivyokuwa hesabu za Yanga kabla ya June 15.

Walipocheza na Kagera kocha alipanga kikosi kuonyesha wazi kuna mechi. Ila haya yanayoendelea kuanzia jana siamini kama ni mind game. Hakuna timu isiyopenda kucheza mashabiki wake wakiwa uwanjani. Siamini kama Simba wako tayari kucheza uwanja ukiwa umejaa mashabiki wa Yanga na wa Simba hawapo. Wako kambini ila naona mgawanyiko kwenye uongozi.
 
Game ipo kijana, subiri masaa kadhaa tu hapo utulie kideoni mwako.
 
Game ipo kijana, subiri masaa kadhaa tu hapo utulie kideoni mwako.
Ikiwepo ni jambo jema ili mtu achukue ubingwa mbele ya mtani.

Ila kuna viashiria vya kutokuwepo mechi. Kutoshiriki prematch meeting, Simu kutopatikana, Kupangiwa kufanya mazoezi saa 11 kabla ya Yanga, waraka wa leo wa shukrani kwa mashabiki kwa kwa support ya msimu mzima wakati walishafanya hivyo kwenye mechi ya Kagera. Labda kwa kuwa hawakuandika kwenye page zao.

Mwisho wa siku Yanga itakuwa uwanjani ikiwasubiri.
 
5imba jana wamechukua tickets zao za VIP kwa ajili ya viongozi wao,hawana ubavu wa kugomea hii match.
 
Anachokifanya 5imba ni sabotage kwa mapato ya Yanga,ila hili tutalilipa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…