BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Yanga SC 1-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025
Mods mmeshindwa kazi
Mods mmeshindwa kazi
Nakaziaaaaaaaaaaaaaa!!Mods ubao usomeke vizuriiii
Uto wanaongoza?Yanga SC 1-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025
Mods mmeshindwa kazi
Inahuuuuuuuu!! Hebu warekebisheee aseeee hatucheki na nyaniiiii🦁🦁🦁🦁🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒😁Labda ni 5imba na wao. 🤣🤣
Oh kumbe!Labda ni 5imba na wao. 🤣🤣
Nipo nje ya nchi, siangalii mpira. Namtafutia mama Samia ushindi wa kishindo.Kwani Wewe Mpira Huangalii Mzee Kosa Moja La Camara Kupewa Penalti halifuti Mlivyoluwa mnapelekewa Moto
Kabisa hizi ni hujuma. 😂😂Yaniiiiii Viranja wanatuhujumuuuuu 🕺🕺💚💚💚💪💪💪💪