Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Mara zote timu ndogo hukamia sana kuifunga timu kubwa na wakifanikiwa hufurahi sana
🤣🤣🤣Dr umeshindwa Kuwanga leo uje unywe supu nimetupia 50 imekuja kama laki na 30
ApiaYanga Wanapelekeewa Mottoooooo 🤣🤣
Majibu atatupa Magori baadaeUkijiuliza Kwanini Kamala Ametoka Golini hupati Jibu Hii mipira Ya Kariakoo Na Hii Mitimu yake Ni Ujinga
Yuko wapi?Majibu anayo Magori