BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Nakaziaaaaaaaaaaaaaa!!Mods ubao usomeke vizuriiii
Uto wanaongoza?Yanga SC 1-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025
Mods mmeshindwa kazi
Inahuuuuuuuu!! Hebu warekebisheee aseeee hatucheki na nyaniiiiiπ¦π¦π¦π¦π¦ππππππππππLabda ni 5imba na wao. π€£π€£
Oh kumbe!Labda ni 5imba na wao. π€£π€£
Nipo nje ya nchi, siangalii mpira. Namtafutia mama Samia ushindi wa kishindo.Kwani Wewe Mpira Huangalii Mzee Kosa Moja La Camara Kupewa Penalti halifuti Mlivyoluwa mnapelekewa Moto
Kabisa hizi ni hujuma. ππYaniiiiii Viranja wanatuhujumuuuuu πΊπΊππππͺπͺπͺπͺ