Hii wangepewa Boda Boda zamaaani ishafika inapoenda. Basi tu 😀View attachment 3382123Asante Mama, hatuna deni na wewe.😀😀
Yalisikika mazuzu na machawa yakiropokwa.😂😂
💃🕺🕺🕺💚💚💚💛💛💛💛💛💛🖤🖤🖤Kwenda
I'm glad uko good japo tumewanyuka 2 😁😆Niipo bestie full house...😀😀
KaoneJotroooooo hassiraaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🦁🦁🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒!!
Chezeiya kukazwaa kavu weeeee🤣🤣🤣🤣🤣😁
Picha la kutisha 😀😀
View attachment 3382910
Cha muhimu na mangungu afunge virago, asije tena na swaga zake za kumuita Camara mara tatu😃Umeongea ki ufundi mtani..sure uzuri nyuma ya key board maisha yanaendelea...wine ni muhimu leo...
Mm hao viongozi sina habari nao watajijua wenyeweCha muhimu na mangungu afuge virago, asije tena na swaga zake za kumuita Camara mara tatu😃
Hapana bro yani ndio mzinga wa vodka umeanza panda kichwani ujue🤔Sema nini, bro log tu out hata ukajimwagie maji mwili ukae sana 😂😂😂😂
Sawa bana unaning'ata na kupulizia...ushauri nitaufanyia kazi kama nitaweza...😀😀nitajjtahidi...☺️☺️ eti chaupole...ila kweli mm mpole😅I'm glad uko good japo tumewanyuka 2 😁😆
Nimesoma juu pale ulivyokasirika baada ya kuchokozwa take it easy my dear vitu vingine puuzia tu mamy sawa chaupole 😉.
#yanga bingwa