Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Mbwakoko mapppouuuuuvvvvvvvvvvuuuuuu🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ungambile english ili kuonyesha umeumia 🤣🤣🤣🤣
Bro kapoze machungunkwa demu wa yanga leo wanatoa yooteee.

Ila na nyie msajiri wachezaji wa maana bwana....mpanzu mleteeni watu wawili wa maana mtakuwa mpo vizuri
Hapa ni kwenda kulipiza kisasi kwa mbususu za warembo wa Yanga zichapwe ile kipacome

Scouting yetu tangu afe Hans Pope imekuwa ya hovyo sana tunasajili wachezaji wasio na quality

Reforms inahitajika Simba kocha abaki
 
Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaa jua Kavu imepenyaaaaa

🦁🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒
 
Mechi ya Leo kocha wa yanga anastahili pongezi kacheza Kwa tahadhari Sana, sijaona Simba ikifanya shambulizi la kuleta madhara

Ila naamini Simba wataingia sokoni kuunda kikosi kizuri, yanga tunaweza kubweteka!!! Mpeni muda fadlu atafanya kitu...



Piga wine hapo ulale kesho tutakua tumesahau haya mambo😃
Umeongea ki ufundi mtani..sure uzuri nyuma ya key board maisha yanaendelea...wine ni muhimu leo...
 
Wewe jisenge usinizoeee...pumbavu
nimempa mimba mama yako? Mwanaume unashoboka na watu kama kiwavi jeshi..hizo ni tabia za kishoga ukome kuni tag shoga mkubwa...
Basi mlete mama yako nimzalishe......
Its Pancho
View attachment 3382879
AHahahahah..leo nimeamini matusi ni ya kila mtu 😂😂.
We muone mtu mstaarabu ila zikibonyezwa button zake aaahhh😂
 
Kumbe wanaume nao ni yanga nikajua mabinti tu
20250625_080907.jpg
 
Back
Top Bottom