Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Bro una fegi hapo???Sikupendi tena bro
Bro una fegi hapo???Sikupendi tena bro
Haupendezei bwana...tulia binti wa nyuma mwiko...😊😊😊Ahsante rafiki yangu BUSH BIN LADEN huu ushindi ilikuwa lazima. Ndiyo maana madunduka walikuwa wanachenga. Ilikuwa wale 5, washukuru wamepunguza makali.
#YANGABINGWA 🏆
🟨🟩🟨🟨🟨🟩🟨🟩
Ungambile english ili kuonyesha umeumia 🤣🤣🤣🤣Mkuu Yanga mmekuwa mkituonea sana Simba.
I'm drained in pain bro I can't explain the feeling, the pain bro
Ignore him/herAsante mkuu...ila kuna vitu sisi wanawake huwa ni vigumu kunyamaza...
Ila nitajaribu mkuu...labda nabishana na mwanamke mwenzangu ndo maana haachi..😀😀
Lazima nimpelekee moto mpaka nipewe Ban..anatafuta bwana kwa nguvu...
Ni ahida leo watu ni wakali sanaLeo watu ni wakali sana jamani, kama vile mrushe ngumi 😂😂😂😂
Mtatuvunjia tekno zetu kheeeee
Uyu Jamaa kana hana mtu wa karibu atajiuuaaaMkuu Yanga mmekuwa mkituonea sana Simba.
I'm drained in pain bro I can't explain the feeling, the pain bro
Mbona yuko poa tuu...ila yy sio timuWee kuwa shabiki wa tatu malogo 🤣🤣🤣🤣
Wa Makolo ndio nawataka😀😀😀😀Usisahau kuwala mashangazi wa yanga
Nina bangi unatumia?Bro una fegi hapo???
Asante sana mtumishi mwenzangu...leo tunalala na viatu...
Mechi ya Leo kocha wa yanga anastahili pongezi kacheza Kwa tahadhari Sana, sijaona Simba ikifanya shambulizi la kuleta madharaVitu vinauma mtani...this is tooo much...
Wananchi tupeane hongeraAhsante rafiki yangu BUSH BIN LADEN huu ushindi ilikuwa lazima. Ndiyo maana madunduka walikuwa wanachenga. Ilikuwa wale 5, washukuru wamepunguza makali.
#YANGABINGWA 🏆
🟨🟩🟨🟨🟨🟩🟨🟩