Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Unaogopa!?Yani hii ni dhahma...hahahaha😀😀😀
Mambo ya kawaida tu. Every game has got a winner
Tupo Simba tupooooooo
Unaogopa!?Yani hii ni dhahma...hahahaha😀😀😀
Kolo kwinyoBora uhamie huko unaofanana nao akili
Mod aliepo zamu akili zake kama kabati la makombe la simba 2024/2025Mod ni Simba bado haamini
Kabisa naunga mkono hojaKeep cool and ignore the boy
Leo mpira haramu sio 😄Mtajijua na mipira yenu...mimi bye bye..kuna ki mtu huwa kina nitag kuniita kwny mpira
Ni ujinga kushabikia mpira wa bongo karibu Manchester tunafanya reformMtajijua na mipira yenu...mimi bye bye..kuna ki mtu huwa kina nitag kuniita kwny mpira
Sitaki hata kusikia 😄😄😄Leo mpira haramu sio 😄
Kabisa Mpira Ni Haramu sana..Ni ujinga kushabikia mpira wa bongo karibu Manchester tunafanya reform
Samia mitano tena
Tulikwambia bwana sajiri timu sio baadae lawama.....mweee bora mngekimbia tuu kuliko kuchezaSitaki hata kusikia 😄😄😄
Hahahaaa. Swahiba ndo kusema sijakuelewa ama?Swahiba tuma namba uokote 😄
Kalpana ni mtu na heshima zake. Apuuze tuKabisa naunga mkono hoja
Leo watu ni wakali sana jamani, kama vile mrushe ngumi 😂😂😂😂Pumbavu Kafie mbele