Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Mbona heading inaonesha goal 1?
Nabadoooo 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒🚮🚮🚮🚮
Pacome ni Mpanzu mtupuKwenu mliokuwa mnamfananisha pacome na mpanzu vp bado mpo
Refa vipi bado dakika 2+ kwanini kamaliza?Simba wakiambiwa wasajili wanaleta janja janja.
Mod ni Simba bado haaminiMbona heading inaonesha goal 1?
Mlikuwa sahihi kukimbiaaaaaaa 🦁🦁🦁🐒🐒🐒🐒😁😁😁😁😁💚💚💚🖤💛🕺🕺🕺🕺🕺💪💪Vilaza
Kashamaliza waiRefaaa maliza mpira niwahi nyumbani nitatafutwa mie, nlichomoka tu na kijora chaap......