Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Endeleeni kuongea shenzi nyie......
Dakika 93 zimeongezwa 5 sasa mboni bado 2 huyu refa vipi hapa?Baada ya kuandaa timu mmekazana NANI ATAMKABA MPANZU
Bado dakika 2 hawa ilibidi wakazwe 3 refa kawaokoaMechi imeisha....Hawachelewi kumlaumu mtangazaji wa Azam
HahahaYanga Bingwaaaaaa Ubingwa mtamu huu kutoka kwa my wetu
Mpira na mimi wapi na wapi🚮Mlikuwa sahihi kukimbiaaaaaaa 🦁🦁🦁🐒🐒🐒🐒😁😁😁😁😁💚💚💚🖤💛🕺🕺🕺🕺🕺💪💪
Pole sana mkuu, such is football 😅😅😅Uongozi wa Simba ni machoko wameshindwa kukaza
Viwili vinawatosha, mapacha hao😂Mlikuwa sahihi kukimbiaaaaaaa 🦁🦁🦁🐒🐒🐒🐒😁😁😁😁😁💚💚💚🖤💛🕺🕺🕺🕺🕺💪💪