Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Bado mojaKocha Kajitahiidi sana Ila Nahisi Kocha wa Makipa Amuonye sana Camara Maana Magoli yote Yamesababishwa na Yeye
Bado mojaKocha Kajitahiidi sana Ila Nahisi Kocha wa Makipa Amuonye sana Camara Maana Magoli yote Yamesababishwa na Yeye
Ila jamani hawa 5imba walikuwa sahihi kutukimbia kimbia. 😅
Ila jamani hawa 5imba walikuwa sahihi kutukimbia kimbia. 😅
Uongozi wa Simba ni machoko wameshindwa kukazaSi mlisema hamchez zaid ya trh 15
😂😂😂😂Umeonaee. 😅
Wangeisusia na hii. 🤣🤣
Umeandika kwa hasira sana. Tatizo nini ?Tafuta pesa mpira hautakusaidia lolote madam utatumika kama pampas tu na wanasiasa