Fadru kafanya kazi nzuri ila akishindwa kuchukua hili kombe atupishe
Kocha Kajitahiidi sana Ila Nahisi Kocha wa Makipa Amuonye sana Camara Maana Magoli yote Yamesababishwa na YeyeShida siyo kocha. Shida ni uwezo mdogo wa wachezaji mliosajili
Wamekimbia uzi hahahaSimba tupo Simba 🦁
Si mlisema hamchez zaid ya trh 15Bora Simba tusingepeleka timu kucheza