Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mooodddddd acheni zurumaaaa goli mbili hapo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mooodddddd acheni zurumaaaa goli mbili hapo
Warembo wa yanga leo mnatupa yooootteeeeeeMooodddddd acheni zurumaaaa goli mbili hapo
WamejisahauSijui shida huwa nini ila mbona levo ya kujituma ya wachezaji wa simba huwa iko chini sana...
Yanga hata wawege wabovu lkn huwa wanajitoa sana.
Yaani we jamaa bana, wewe huyo huyo mtangazaji halafu unaegemea upande..Mmeondoka patupu msimu huu,na leo hamna cha kusingizia kuhusu marefa
🤣🤣🤣Fadlu sio kocha,sub zake zimeharibu timu
Lakini haiondoi ukweli kwamba msimu huu Simba wana kikosi kibovuKocha Kajitahiidi sana Ila Nahisi Kocha wa Makipa Amuonye sana Camara Maana Magoli yote Yamesababishwa na Yeye
🦁🦁🦁🦁🐒🐒🐒💚💚💚💚💚💚💛💛🖤💪💪💪💪Wanasiasa wanawaona kama viazi🚮
VilazaUmeandika kwa hasira sana. Tatizo nini ?
Ulitaka niegemee niniYaani we jamaa bana, wewe huyo huyo mtangazaji halafu unaegemea upande..
Umeelewa ulichokiandika?Tafuta pesa mpira hautakusaidia lolote madam utatumika kama pampas tu na wanasiasa