Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Hivi Simba wamefikwa nini? Kweli waganga mabingwa wamekwisha ? Mbona Yanga anawapata ? Sasa inabidi kuwaleta waganga pia kutoka huko Africa magharibi kama wanavyo leta wachezaji. Tena kwa maktaba rasmi , hakuna kushinda hakuna bonasi.
Inabidi waganga wa nje waletwe tu sababu hakuna namna. Hawa wa kwetu makali yameisha
Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…