Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Na sisi tu tunawaheshimu na kuwapenda sana...Tena tunawapenda na kuwatunza😅
Na sisi tu tunawaheshimu na kuwapenda sana...Tena tunawapenda na kuwatunza😅
Na wao furaha yao ni kutunyoosha tu , hata wakiishia makundi😛Hakuna namna. Makundi FC kwa mara nyingine tena wametunyoosha.
Pole sana kwa maumivu. yakizidi muone daktariJ
Kumbe ile misimu 4 tulonyanyua kwapa uto waliumia hivi eee...
Sawa wazee wa caf...msajiri timu sasa mnaenda champions league sio shirikisho tenaWw nimekwambia mm mshabiki wa simba damu...utaniona kwny ligi za caf...huku kwingine nehi nehi
Muda si mrefu mtaanza tena zile kelele zenu za kumkataa Mwenyekiti, makocha, na baadhi ya wachezaji.Kuna shida pale msimbazi wachezaji wanajiona ma star kwasababu wameshiriki final ya Caf confederation cup hawawajibiki kabisa.
Sahartin wallah🤔Na sisi tu tunawaheshimu na tupewe nini sisi tena
Iliwaumaa sana na nyie sasa moate machungu.J
Kumbe ile misimu 4 tulonyanyua kwapa uto waliumia hivi eee...
Kama kawa lazima mtu abebe lawama. Mo atakumbushia deni lakeMuda si mrefu mtaanza tena zile kelele zenu za kumkataa Mwenyekiti, makocha, na baadhi ya wachezaji.
SawaPole sana kwa maumivu. yakizidi muone daktari