G
Kwani wewe hujafurahi?Umerud na fujo dogo
J
Kumbe ile misimu 4 tulonyanyua kwapa uto waliumia hivi eee...
Mimi nimefurahi tu kuona mdogo angu umerudi tena. Sijui uliuza simu?Kwani wewe hujafurahi?
Wewe jisenge usinizoeee...pumbavu
nimempa mimba mama yako? Mwanaume unashoboka na watu kama kiwavi jeshi..hizo ni tabia za kishoga ukome kuni tag shoga mkubwa...
Basi mlete mama yako nimzalishe......
Its Pancho
View attachment 3382879
Bro ndio maana mimi sitaki kuoa , nilikua na mwanamke ananipigia kelele nimjengee kwao eti niache bia 😅Leooooo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KARIAKOO DERBY | Leo Jumatano kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC
Saa 11:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa
Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Afrika nzima imewadia.
Ni mechi ya kuamua ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024/2025, Yanga ikiwa inaongoza ligi kwa pointi moja dhidi ya mtani wake, Simba.
Waamuzi wa mchezo wa leo wakikagua "pitch" ya dimba la Benjamin Mkapa
View attachment 3382718
View attachment 3382719
View attachment 3382748
Kikosi cha Yanga
View attachment 3382761
Kikosi cha funga kazi Simba
View attachment 3382760
Mashabiki wa Yanga wakizungumza kabla ya mechi
Acha kuzugaKwani kuna nini?
Wahuni waliniibiaMimi nimefurahi tu kuona mdogo angu umerudi tena. Sijui uliuza simu?
Acha ujinga kijana
Kabisa mpaka aseme amechokaHahaha kumbe na wewe umeona?
Pole, mjini shuleWahuni waliniibia
Oa ambae kwao kuna nyumba 😂😂Bro ndio maana mimi sitaki kuoa , nilikua na mwanamke ananipigia kelele nimjengee kwao eti niache bia 😅
Nyumba ipo ila alitaka kujifananisha na juhudi za mzee wangu na wake nikaona nipige chini bro😁😁😁Oa ambae kwao kuna nyumba 😂😂
Ki adje mzeeUnazingua mwanangu
Leo umepooa swahiba nakuja kuokota in jaku boy voice 😄Hahahaaa. Swahiba ndo kusema sijakuelewa ama?
KanyamwiiiiiKi adje mzee
Ka miiiiin tulia tulia riziki mafungu 7Kanyamwiiiii