Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Hebu wanasimba tutokeni ndotoni na usingizi wa pono tulionao, lazima mgt iboreshe timu yetu iwe ya kisawa sawa. Halafu tupunguze MDOMO yaani KAMDOMO KAMEKUWA KAREFU, KAMDOMO KANAPONZA OOOH!.
 
Leo ndo nimeamini GSM astopishwe ana michezo mibaya sana anaharibu ligi imagine kila siku Yanga wanaibuka na ushindi mnono mbele yetu thithi makolo 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Gj1dxZeXwAArFPk.jpg
 
Back
Top Bottom