OKW BOBAN SUNZU
Member
- May 23, 2018
- 71
- 177
NipoMwasibu OKW BOBAN SUNZU uko wp
NipoMwasibu OKW BOBAN SUNZU uko wp
5+2imba watakimbia ligi..nasikia sasa hivi wanamlaumu Sa100Bodi ya ligi iajiri waamuzi wa nje ya nchi waje kuchezesha kwetu
Lete lipa namba shindii.
Safi bwashee kula pombe ila yanga mmestahili mno😅😂🤣Nipo nakunywa safari lager
Wacha nijipongeze kalpana angenifukuza jukwaani
Hakuna kama YangaSafi bwashee kula pombe ila yanga mmestahili mno
No reform no electionHakuna kama Yanga
82Katika pointi 84 za msimu huu makolo wameichangia Yanga points 6,GSM anaharibu ligi yetu 😄
Tulia mwanetu timu yako ya kawaida sanaWalete hao utopolo.
Wataelewa kwanini mwanamke akaambiwa akae vizuri mchana anatengeneza nguo yake vizuri, na akiambiwa akae vizuri usiku anavua nguo vizuri.
Waliahidiwa 500m na 150m kila goliNimeutazama mchezo wote naona wachezaji wenu kama hawana kiwango sawa sawa na hawana uchungu na team kama wachezaji wa yanga
Wachezaji wa yanga wanajituma sana
Inawezekana umeileta hii kama utani, lakini kwa jinsi ninavyowajua Makolo yataufanyia kazi ushauri wako huu, haswa yule Mzee Dalali akisikia hii atautia presha uongozi mpaka ukubali.Hivi Simba wamefikwa nini? Kweli waganga mabingwa wamekwisha ? Mbona Yanga anawapata ? Sasa inabidi kuwaleta waganga pia kutoka huko Africa magharibi kama wanavyo leta wachezaji. Tena kwa maktaba rasmi , hakuna kushinda hakuna bonasi.
Inabidi waganga wa nje waletwe tu sababu hakuna namna. Hawa wa kwetu makali yameisha
Kazi iendelee
Usiku ulikua mzuri sanaa😃😃 vipi wewe jiraniifinancial services jiraaaniiiii leo nakuona unavyiruka ruka