Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa Simba kama hiki. Timu yao imeonekana kama ilikuwa inaikimbia Yanga ili wasicheze nayo, timu yao imeonekana haina mamlaka wala msimamo, wamefungwa mara tano mtawalia na watani wao wa jadi na wamemaliza msimu bila kombe lolote. Inauma sana
 
Naona kama simba wamefanya vizuri sana, hauwezi badili kikosi karibu kizima halafu upate mafanikio ya haraka , kufungwa ni kawaida na ndivyo mpira ulivyo , Manchester toka 2012 hatujaonja kombe , ndivyo mpira ulivyo.
 
downloadfile.jpg
 
Mie mwenyewe shabiki wa Manchester Utd ila suala la simba na MU ni tofauti. Bado tuna mentality ya Babu fergie ndo bora kuliko kocha yoyote ajaye hapa pep akija pale timu itamshinda. Usajiri wa kukurupuka sana hatujui kuvumbua vipaji na ubahili mwingi hadi arsenal wanatupita kwa ubora mmh tatizo kubwa. Ila kwa makolo mmewekeza kwenye mdomo na marefa kuliko mchezo halisi

Dah man yangu kila siku inanipa pressure 😭
 
Nimeutazama mchezo wote naona wachezaji wenu kama hawana kiwango sawa sawa na hawana uchungu na team kama wachezaji wa yanga

Wachezaji wa yanga wanajituma sana
Muda anakwambia bonus kubwa sana 🙌🙌🙌🙌na GSM hachengeshi wamepeleka kombe amewapa hela waondoke nazo asivyo na huruma kaweka na kwa Singida bonus ya hatari
 
Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa Simba kama hiki. Timu yao imeonekana kama ilikuwa inaikimbia Yanga ili wasicheze nayo, timu yao imeonekana haina mamlaka wala msimamo, wamefungwa mara tano mtawalia na watani wao wa jadi na wamemaliza msimu bila kombe lolote. Inauma sana
Poetic 🙌
 
Back
Top Bottom