Wacha ziniueeeee jirani.....raha ya dunia ipo paleeee jiraniMbususu zitakuua jirani😀😀
Poetic 🙌
Aah ila Ina rymes na rhythms au hutaki kujikweza😂Nimecopy comment ya mtu huko Twitter 😂😂😂
Imeisha hiyoo...Halafu Leo kamekaa kama ka weekend flani hivi
Shadeeya umeona upigaji wa penalty ! Huyu Mwamba ni Kiboko namvulia kofia
View: https://youtu.be/g06ArFgYDdM?si=eHsDRnHpTpOfiBgc
Mkuu Mwasibu wetu kachange Id ndipo anaitwa Kipenzi Changu.Mwasibu OKW BOBAN SUNZU uko wp
Hii inaitwa kuwakerra. 🤣Naangalia marudio 5imba wanafanya makosa yaleyale
Ila Mbumbumbu bana. 😅 Akili zao huwa wanazijua wenyewe.Nacheka lakini naogopaView attachment 3383036View attachment 3383037View attachment 3383038
Jamani sio mimi ni mtoto wangu ndio kapost.
😂😂😂Dabi haikuwa na kipengele kabisaaaaa... Yanga Bingwaaaaaaaaa
Shadeeya umeona upigaji wa penalty ! Huyu Mwamba ni Kiboko namvulia kofia
View: https://youtu.be/g06ArFgYDdM?si=eHsDRnHpTpOfiBgc
Kwamba tuombe mungu tushinde! Mimi hata guts za kuutazama sikuwa nazo. Nilifungua JF mwisho mwisho nikafurahi ilipokuwa 1-0 na mengine ni historyHivi njinjo jana uliniambiaje eti kabla ya hii game? 🤣🤣
Kusema za Ukweli nilifurahia Aziz Ki kuondoka kwa sababu ya penalty za Pacome. Aziz Ki alikuwa anamzibia. Huyu anajua kuhadaa magolikipa kwa kuvuta mguu kiujanja. I wish wachezaji wetu wazawa wangeiga upigaji huuSana yaani. Anafanya ionekane kama kupiga penalti ni kitu rahisi kabisa.
Huko mbele akakutana na buibui akamvamia nakumrukia!, na ndipo hapohapo kwa hasira akasimama nakumpiga buibui kwa teke moja akaanguka akafa!..😅