Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Hamia Yanga unenepe zaidi,hilo timu la propaganda litakutoa vidonda vya tumboSitaki hata kusikia 😄😄😄
Hamia Yanga unenepe zaidi,hilo timu la propaganda litakutoa vidonda vya tumboSitaki hata kusikia 😄😄😄
Kalale.Acha kuzuga
Halafu uniambie ulikuwa wapi!Kwani wewe hujafurahi?
Hizo tatu zilizobaki ndio zangu kidume😛Ka miiiiin tulia tulia riziki mafungu 7
Nilale mara ya ngapi?Kalale.
Tafuta mwanayanga mmoja oaNyumba ipo ila alitaka kujifananisha na juhudi za mzee wangu na wake nikaona nipige chini bro😁😁😁
Wahuni waliniibia simu.Halafu uniambie ulikuwa wapi!
Acha ujinga Wa kijinga...Nimekutag?
Huyu mutu ya mheshimiwa Lucasephen_ ananichomolea kikatili sana bro🤔
Usishangae wakafanya usajili wa bilioni kadhaa wakashona sare zao haoo vikundi. Furaha yao watukande.Na wao furaha yao ni kutunyoosha tu , hata wakiishia makundi😛
Au sioKila la heri mnyama SIMBA 🔴🔴
Haya bana...ukumbi wenu
PoaNdio
Nimekaa pale😅Hizo tatu zilizobaki ndio zangu kidume😛
Dr am 4 real PhD pombe zimeisha lakini?Nimekaa pale😅