Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

20241218_171403.jpg
 
Timu zote zinazofungwa na Yanga ni kama zinafanyq mazoezi, hazina nguvu zikifika katikati. Hazi kazi msuli kama zinavyccheza a Simba.
Yanga iweke akiba ya mshtuko ikikutana na team za Caf Championship
 
Yanga nzuri ni ya dakika 45, kipindi cha pili ni wazito
 
Back
Top Bottom